Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....
Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...
Kwa mujibu wa mtandao wa
Standardmedia, mwanamke huyo alimka usiku na kuelekea chooni
kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa kuona mkojo
hautoki.Alipojichungulia,Ikulu ilikuwa IMEZIBWA..!!!
Taarifa zinadai kwamba, mwanamke huyo alizimia pale pale.
Kwa mujibu pia wa mtandao wa
Zimbabwean ambao nao umeripoti kuhusu tukio hilo, mwanamke huyo
anadaiwa kuwa na tabia chafu ya kutembea na waume za watu, hali
ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake wenzie...
Mtandao huo umedai kwamba , katika
siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai alimpa
ONYO kali mgoni huyo baada ya kugundua kuwa anatoka kimapenzi na
mume wake na kumtaka aache mara moja...
Baada ya siku chache kupita tangu onyo hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta amenyofolewa nyeti zake....
No comments:
Post a Comment