NEMAYAN

NEMAYAN

ROBERT

  • THE HOODS SPICK

Thursday, January 24, 2013

Bibi aliyesababisha gari kuchomwa moto Mtwara huyu hapa ....


Picture
Bibi Somoe Issa kushoto, akiwa na mwandishi wa habari wa info radio mjini Mtwara. 
Bibi Somoe Issa (90) mkazi wa  kijiji cha Msimbati (pichani kulia) jana  usiku alileta kizazaa baada ya watu wasiojulikana kuchoma gari lililokusudia kumtorosha bibi huyo baada ya kutoa kauli kuhusu sakata la gesi , bibi Somoe inasemekana alisema  kuwa gesi ikisafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam kama serikali ilivyokusudia basi itageuka  kuwa Maji na si gesi tena! Inasemekana bibi huyo alitaka kwenda kuonana na wazee wa kimila na kuongea na kuhusu suala zima la gesi, pia imefahamika kuwepo kwa ulinzi mkali kwenye nyumba ya bibi huyo toka jana mara baada ya tukio hilo kutokea 
Kuwa karibu nasi kwa habari zaidi ................................. 

No comments:

Post a Comment