‘Baby,This
is January,una mpango gani na mimi??Mwaka huu ukiisha bila kunioa
kwakweli sitakuelewa,Monica wa ofisini anaolewa tarehe 22,my BFF Stella
anaolewa March,My roommate Sandra anaolewa na yule BF wake wa South
Africa mwezi wa 6,nabaki mimi tu,kwakweli sitaki’..’Kama huna mpango wa
kunioa mwaka huu niambie kabisa,kuna these 2 guys wananifuatilia muda tu
nimewapotezea kwa ajili yako lakini naona hueleweki’Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa..Ndoa sio mashindano kwamba usipokimbia fasta atashinda Usain Bolt…Anataka umuoe kisa mashosti wanaolewa kwamba ye ataonekana kachelewa lakini 2.anasema kuna vijana wa2 wako tayari kumuoa that means hana consistency,ana Plan A,B,C hadi Z,yeye shida ni ndoa ila sio nani kamuoa.Kaweka Timing,akikukosa wewe basi ana reserve.Na si ajabu hata hao wawili anaowasema wako Pending tayari wameshaweka Signature bila wewe kujua…Mwanamke wa namna hii,akisema tu hizi shombo,we mwambie Samahani mpenzi mahari nimejengea mabanda ya kuku wa Mayai…Nitakushangaa kama utakurupuka na kuanza kututumia meseji za michango ya harusi ya Crash Programme kisa demu kakupiga mkwara ili umuwahi uwashinde wale wawili..Huo ni U-sukununu!…Hutakuwa umeoa Mke ila Umeoa Vodafasta!
No comments:
Post a Comment