NEMAYAN

NEMAYAN

ROBERT

  • THE HOODS SPICK

Sunday, January 27, 2013

Picha:Hatimaye Machangu Doa walio kamatwa Sinza Wafikishwa Mahakani

Picha za Wanawake wanaotuhumiwa kufanya biashara ya ukahaba wakipelekwa  kwenye Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kwenye oparesheni ya kuwakamata inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipilisi Kinondoni, jumla ya watuhumiwa 14 pamoja na baadhi ya wateja wao wamefikishwa kwenye mahakama hiyo.




No comments:

Post a Comment