Mastaa wa marekani Kim Kardashian na Kanye West wamekata ofa ya dola za Marekani milioni 3 sawa na takriban shilingi za kibongoa 4,680,000,000 kutoka kwa mtandao mmoja wan je wa udaku ili wawe wa kwanza kupiga picha za mtoto wao wa kwanza.
Vyanzo vya habari zimedai kuwa wawili hao hawana mpango wa kuuza picha  za mtoto wa kwa mtu yeyote.
Hata hivyo wachambuzi wa mambo wanadhani hii ni taarifa ya kutungwa ili kuongeza kiu ya watu kutaka picha hizo hivyo kufanya dau kuongezeka.