NEMAYAN

NEMAYAN

ROBERT

  • THE HOODS SPICK

Monday, January 28, 2013

Picha ya Lulu Akiwa Mahakamani Akisubiri Dhamana leo

Lulu Akiwa mahakamani Siku ya leo …Mahakama imesema dhamana yake ipo wazi na imetoa masharti na ya dhamani ambayo inatakiwa yatimizwe ili aachiwe baadhi ya masharti ni kuwa na wadhamini wawili kila mmoja atoe milioni 20  na hati yake ya kusafiria inahitajika na mengine..wakishayatimiza hayo Lulu Michael Ataachiwa kwa Dhamana

No comments:

Post a Comment