NEMAYAN

NEMAYAN

ROBERT

  • THE HOODS SPICK

Saturday, January 26, 2013

WATU WAWILI WAMEFARIKI MASASI MKOANI MTWARA NA WENGINE WENGI KUJERUHIWA VIBAYA ..


 
Chanzo cha vurugu zilizoanzishwa na madereva bodaboda huko Mtwara - Masasi zinatajwa kuwa ni tukio la mwenzao aliyekuwa anakimbizwa na Polisi kudondoka na kuumia vibaya, ikisemekana kuwa imekuwa ni tabia ya muda mrefu ya Polisi kuwaonea kwa kuwakamata na kuwataka wawapatie kiasi cha fedha.

Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya inatajwa kuchomwa moto, Zikiwepo Ofisi za CCM, nyumba mbili za mheshimiwa Anna Abdallah, Nyumba ya Mbunge Mariam Kasembe pamoja na Mahakama ya Mwanzo wilayani hapo.

Hadi sasa Polisi wanaendelea na jitihada kurudisha mazingira ya Amani.

Endelea kuwa karibu na EATV kwa taarifa zaidi kuhusiana na hili.

No comments:

Post a Comment