
Leo
Asubuhi Pametokea ajali katika stand ya mabus makubwa yaendayo mikoa
pale ubungo baada ya ukuta wa Sehemu ya kuegeshea magari kuangukia
magari zaidi ya ushirini yaliyokuwa yamepark sehemu ya parking ya
kusubiria abiria ndani ya stand hiyo, imereportiwa kuwa kuna watu wawili
wamejeruhiwa..Chanzo cha ajali hiyo ni mkandarasi wa aliyekuwa anabomoa
ukuta huo bila kuchukua taadhari..Habari na picha zaidi zitawafikia
baadae.
No comments:
Post a Comment