

Stori: Gladness Mallya
KAMA ilivyodhaniwa na wengi kwamba baba wa staa wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa atazungumzia dhamana ya Elizabeth Michael ‘Lulu’, kweli ameibuka na kusema yupo makini kufuatlia mwenendo mzima wa kesi hiyo ya kuua bila kukusudia.
Hivi
karibuni, Baba Kanumba alipiga simu kwenye dawati la Amani na kusema
dhamana hiyo ya Lulu haimuumizi kichwa kwa sababu kila mtu ana haki ya
kupewa dhamana kutokana na sheria ila yupo makini kufuatilia mwenendo
wake.
No comments:
Post a Comment