NEMAYAN

NEMAYAN

ROBERT

  • THE HOODS SPICK

Tuesday, February 5, 2013

Nimekutana na Websites Nyingi ila hii Kiboko www.jifunzekutongoza.com


Asilimia kubwa ya maisha yangu ya mchana nakuwa mtandaoni, inatokana na asili ya kazi yangu, nimeshakutana na tovuti (websites) za kila aina ila hii chibokoooo!!!
http://www.jifunzekutongoza.com


Baadhi ya Maneno katika mtandao huo ni haya.

   "Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na akala mzigo leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka kula mzigo. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa"


Sasa Mpango Mzima Uko Namna Hii...
  Tuna wataalam wa kutongoza. Hao jamaa ni noma, we mwenyewe ukiwasikia sound zao, na ukiona swaga zao utawakubali.
  Na uzuri zaidi sio sound na swaga tu, bali wanakula kweli mizigo fasta tena bure bure. Sio watu wa maneno miiiingi na resi kibao halafu mwisho wa siku wakaishia kunawa. La hasha, wanasoundisha na wanakula mzigo.
  Kila wiki tunarekodi na kurusha kupitia email (au CD) "episode" kadhaa ambapo wataalam wanatokea mademu kwenye mazingira mbali mbali. Njiani, barabarani, vyuoni, kazini, stendi za daladala, kwenye daladala, club, beach, n.k.
  Ukisikiliza hizi "episode" utapata darasa kamili la ujanja wa kumtongoza mwanamke yoyote yule, mahali popote.
  Si rahisi kukupa picha kamili kwa maneno tu, inabidi ujiunge nasi uanze darasa ndipo utajionea mwenyewe.
  Kwenye "episode" zetu utasikia staili mbali mbali za kutongoza, kama vile:
  • Tongoza ya kistaarabu (kiupole)
  • Tongoza ya ki-gangsta (yaani kigumu gumu)
  • Tongoza ya ki-mafia (yaani no kubembeleza)
  • Tongoza ya kizungu
  • Tongoza ya kihindi
  • Tongoza ya kiarabu
  • Tongoza ya kimya kimya
  • Tongoza ya mchanganyiko wa aina mbali mbali hapo juu"

No comments:

Post a Comment