Unaweza usijue mtu uliyenaye anakupenda kiasi gani kwa sababu ya
mazoea,unachukulia Mapenzi yake,I love you zake,Chakula
anachokupikia,Kukufulia nguo,na Zawadi anazokupa,kama mazoea...Ukawa
busy kutompa haki yake na penzi analostahili kwa Penzi lake juu
yako,ukawa bize na Kokoto zingine na kuiacha dhahabu yako nyumbani
imejaa vumbi...Dhahabu hata ijae vumbi vipi haiwezi kuwa na thamani sawa
na Kokoto ya Tegeta!Siku atakayoondoka utajikuta una lori zima la
kokoto lakini halina thamani,utakuwa umepoteza Dhahabu ya thamani kwa
sababu tu hukuijali ilivyopaswa na wengine waliotambua thamani yake
waliijali on ur behalf!
Mapenzi hayana Mazoea,hata muwe na miaka H kwenye Mapenzi msiishi kama
wazee,hakikisha Mapenzi yenu yananukia upya kama mmeanza jana,kila
anayewaona awatamani...Mazoea yataua penzi lenu,Once ukiingiza Mazoea
utaona dhabau ni kama bati wakati majirani wanaona jinsi inavyong'aa na
wanaitamani...Respect your Lover,Value even the small things he/she does
to you,hata akileta boxer ya 800 ya Karume mwambie asante maana atleast
ulicross kwenye mind yake akanunua...Mazoea ni adui wa Mapenzi,Kill it!
No comments:
Post a Comment